Wanafunzi wa chuo hiki wanalalamika kwamba wamefundishwa kwa kutumia mtaala ambao sio!wameshtukia hilo hivi karibuni na bila kusita walilalamikia uongozi wa chuo lakini wamekanusha tuhuma hizo.wanafunzi wamegomea kufanya CAT(testi) wameenda hadi NACTE wanasema hata hawakifahamu hicho chuo wameendelea kulalamikia uongozi wa chuo lakini uongozi umeamua kuwabandikia tangazo kuwa "chuo kimefungwa"wanafunzi wa chuo hicho hawaelewi chochote mpaka sasa.wamefika mbali zaidi na kuamua kwenda kuwaita wasemaji wa TCU lakini hamna aliyetoa tamko wala kufika katika chuo hicho.
Pia kwa kumbukumbu za mhanga wa hayo majanga anasema kwamba hata kipindi wanaanza chuo ishu ya mkopo ilisumbua sana inasemekana bodi ya mikopo (loan board)iligoma kuwapatia mikopo wanafunzi wa chuo hicho kwa kudai kwamba hawakitambui chuo hicho,lakini baada ya mda kidogo walipata mikopo yao.Swali la kujiuliza mimi na wewe ni je rushwa ilitumika ili wanafunzi wapewe mikopo achilia mbali chuo hakifahamiki?hilo mimi wala wewe hatujui ebu tujiogeze kwa uelewa wetu.pia wanafunzi hao walijaribu kudai prospectus ila walichoambuliwa kupewa ni prospectus inayohusu watu wa Engineering ambayo inadaiwa ku-editiwa ili kuwaridhisha wanafunzi hao wanaosoma B.Ed education.
kwenye website yao wameandika .........
1.BACHELOR IN CIVIL ENGINEERING ( B.E.)
2.BACHELOR IN MECHANICAL ENGINEERING ( B.E.)
3.BACHELOR IN ELECTRICAL & ELECTRONICS ENGINEERING. ( B.E.)
4.BACHELOR IN ELECTRONICS & COMMUNICATION ENGINEERING ( B.E.)
5.BACHELOR IN COMPUTER SCIENCE ENGINEERING ( B.E.)
6.BACHELOR IN INFORAMTION TECHNOLOGY (B.TECH.)
Tunaelekea wapi???
Je hii ndio Big result now?(matokeo makubwa sasa)chuo kukosa mtaala wa kufundishia?mimi nilifikiri haya mambo yapo kwenye shule za msingi na sekondari tu kumbe hata huku yapo?tena mbaya zaidi ni chuo cha sayansi ambayo ndo imepewa kipaumbele na serikali yetu tukufu je wataalamu wa sayansi watapatikana kwa hali hii?
ila sishangai sana hii ndio Tanzania yetu ujanja ujanja mwingi sana ni kubebana wao kwa wao huku wakiwaacha walala hoi wakitaabika.

DEGREE PROGRAMS IN ST.JOSEPH UNIVERSITY IN TANZANIA
The college first of its kind offering 4 years Bachelor Degree programmes and 3 years Diplomas Programmes, approved by NACTE- Ministry of Science, Technology and Higher Education, located at Dar-Es-Salaam. The college is well equipped with all the required modern facilities and amenities.1.BACHELOR IN CIVIL ENGINEERING ( B.E.)
2.BACHELOR IN MECHANICAL ENGINEERING ( B.E.)
3.BACHELOR IN ELECTRICAL & ELECTRONICS ENGINEERING. ( B.E.)
4.BACHELOR IN ELECTRONICS & COMMUNICATION ENGINEERING ( B.E.)
5.BACHELOR IN COMPUTER SCIENCE ENGINEERING ( B.E.)
6.BACHELOR IN INFORAMTION TECHNOLOGY (B.TECH.)
(Hapo inamaana hakuna bachelor ya education na haitambuliki na NACTE wala TCU)
Tunaelekea wapi???
Je hii ndio Big result now?(matokeo makubwa sasa)chuo kukosa mtaala wa kufundishia?mimi nilifikiri haya mambo yapo kwenye shule za msingi na sekondari tu kumbe hata huku yapo?tena mbaya zaidi ni chuo cha sayansi ambayo ndo imepewa kipaumbele na serikali yetu tukufu je wataalamu wa sayansi watapatikana kwa hali hii?
ila sishangai sana hii ndio Tanzania yetu ujanja ujanja mwingi sana ni kubebana wao kwa wao huku wakiwaacha walala hoi wakitaabika.
hiki chuo bora kifutwe tu kwan hakuna elim bora hapa ila knatoa bora elim
ReplyDelete