Search This Blog

Wednesday, 13 August 2014

Leo ni Siku ya watu tunaotumia mkono wa kushoto duniani

Leo ni siku ya kimataifa ya watu tunaotumia
mkono wa kushoto. Lengo la siku hii ni
kuelemishana juu ya changamoto
Tunazokabiliana watu tunaotumia mkono wa
kushoto ikilinganishwa na jamii kubwa
inayotumia mkono wa kulia.

No comments:

Post a Comment

what you think?