Search This Blog

Tuesday, 5 August 2014

Uongo ambao wengi hudanganya kwenye usaili wa kutafuta kazi:

Katika pitapita zangu nimekutana na hii kitu ni kweli?
- Nina uzoefu wa kufanya kazi zaidi ya moja
kwa wakati mmoja
- Nilikuwa natamani sana siku moja itokee
nifanye kazi na kampuni hii
- Kwangu mimi mshahara siyo kipaumbele
changu, niko tayari kufanya kazi kwa mshahara
wowote
Endelea kusoma zaidi hapa

No comments:

Post a Comment

what you think?