Wewe ni mmoja ya wanaoamini katika ujasiriamali?
Pata kujua mbinu mbalimbali za kufanikiwa katika shughuli zako za kijasiriamali.
Mbinu chache kati ya hizo ni:-
*unapoamua kuwa mjasiriamali upuka kutaja neno siwezi,penda sana kutaja maneno kama "yule ameweza ana nini,na mi nishindwe nina nini?"
*Pia penda kutumia uzoefu wa wale waliofanikiwa kwa kuwauliza changamoto walizopitia mpaka kufanikiwa kwasababu mafanikio ni safari ndefu iliyo na milima na mabonde,so ni muhimu kujua changamoto za unachokifanya ili ujue namna ya kupambana nazo zitakapotokea.
*Ni muhimu kujua fursa/raslimali mbalimbali zinazopatikana katika mazingira yako(resources).Lenga kwanza vile vitu ambavyo hutumii pesa kuvipata hii itarahisisha kupunguza gharama za mradi/shughuli zako za kijasiriamali unazozifanya.
*Usiwe mbinafsi kama una wazo lako la kibiashara na huwezi kuliendeleza tafuta mbia(partiner) ili mshirikiane kuliendeleza.
Soma zaidi hapa
..............Itaendelea......
No comments:
Post a Comment
what you think?