Search This Blog

Saturday, 2 August 2014

kwa ufupi kuhusu Kongwa secondary school

Kwa wanakongwa na wasio wanakongwa kuna huu msemo unaosema "mkataa kwao ni mtumwa" pia "anaejua na kukumbuka alikotoka huyo ni rahisi kupima wapi aendako na ni wapi atafika".sina mengi ya kusema tazama picha hizi je utakuwa na la kusema?
hapa ni wanafunzi wa kongwa advance 2011-13
hapo juu ni mazingira ya shule kipindi cha ukame
HAYO NI MAZINGIRA YA KONGWA KIPINDI CHA NEEMA/MVUA
michezo nayo ilipewa kipaumbele
pia utamaduni wa wagogo uliwavutia wengi
kusoma pia ilipewa kipau mbele kwasababu ndo kitu kilichowafanya wanafunzi wakutane katika shule ya kongwa
sekta muhimu ya msosi haikusahaulika
HAYO YOTE YALIWEZEKANA KUTOKANA NA USHIRIKIANO MZURI KATI YA MKUU WA SHULE NA WANAFUNZI HESHIMA KWAKO MKUU ILOMO Hayo yote ndiyo yalitufanya wengi tushindwe kuondoka Kongwa kwasababu tulikuwa tunapata kila tulichokuwa tunahitaji pasi na kujali ubora wake,walioondoka Kongwa kabla ya kumaliza walichokifuata tuliwaona kama "masnitch" yaani wasaliti. soma zaidi hapa

No comments:

Post a Comment

what you think?