Search This Blog

Saturday, 26 September 2015

SIRI NZITO YA TAREHE YA KUZALIWA MTU WA WATU EDWARD LOWASA.

Jina lake ni chimbuko ukoo wa kifalme wa uingereza. Dola ambayo vita kuu ya I ya dunia lilitawala Tanganyika  chini ya umoja wa mataifa. wakati Edward lowasa akizaliwa sir Edward Twing-ing alikuwa ana miaka minne tangu aje Tanzania kama Gavana. Jina la Edward lina maana ya WEALTHY GUARDIAN kwa kimombo kwa tafsiri ya kiswahili cha huku machakani Basi huyu ni Mlezi au Kiongozi aliyejaliwa utajiri wa watu...

TAREHE YAKE YA KUZALIWA YABEBA SIRI NZITO.

Tarehe ya kuzaliwa mhe. Edward lowasa yabeba ujumbe mzito.
Wadadisi wa Maandiko ya Kikristo Wanatuambia kuwa namba zina maana pana zaidi ya kuonyesha idadi ya vitu au kiasi. Waingereza wanasema ``Numbers are beyond numerical value''
Ili tuweze kuelewa dhana hii hebu tuchukulie mfano wa namba SABA. Katika biblia namba hii inamaanisha UKAMILIFU (fullness)
Twende taratibu katika injili ya Mathayo 18:22. Petro anamuuliza Yesu ndugu akinikosea nimsamehe mara saba (7)? Yesu akamjibu Sikwambii mara saba bali hata mara sabini (70). kimsingi hakuwa anamaanisha asamehe mara 490, bali asamehe kikamilifu tena mara zote. Kwa jinsi hiyo sasa tukubaliane kwa kibiblia namba ni zaidi ya idadi ndugu!!
Mhe. Edward lowasa aliteuliwa kugombea urais tiketi ya ukawa kupitia chama cha chadema.
Mhe. Edward Lowasa alizaliwa tarehe 26/08/53. Unaweza kuona kwa ujumla wa Tarakimu za Siku, Mwezi, Mwaka ni Nane (8).
Haya Twende: Tarehe ya kuzaliwa  26 ambayo (2+6=8),  Mwezi wa 08 ambao(0+8=8), Mwaka 53 ambao(5+3=8). Isitoshe mwezi nane (8) mwaka huu Edward lowasa katimiza miaka 62. (6+2=8)pia ukichukua mwezi huu wa nane na miaka anayotimiza ukijumlisha unapata ni yale yale Nane (8).
MAANA YA NAMBA NANE (8) KIBIBLIA NI÷
Katika biblia nane inamaanisha Mwanzo mpya. Mifano ni Mingi Tunasoma katika Biblia kuwa Mungu aliumba Mbingu na Nchi kwa Siku Sita ya Saba akapumzika, Kwahyo Siku ya Nane ni MWANZO MPYA!!!!
Yesu alifufuka Siku ya kwanza ya juma. Tunajua kuwa juma lina siku Saba(7), Basi siku ya Kwanza ya juma ni siku ya Nane (8).MWANZO MPYA .

Watoto wa kiume walitahiriwa siku ya Nane(8). Katika agano jipya, Tohara ya moyoni ni kumpokea Roho mtakatifu na kuwa kiumbe kipya, kuzaliwa mara ya pili yaani MWANZO MPYA!! (Rum 2:28-29, kol 2:11-13, 2k or 5:17).
Yesu alisema maneno Saba (7) Msalabani neno la saba likiwa ''Imekwisha'' Akakata roho. Kwahiyo neno la Nane ( 8 ) Alilisema  baada ya kufufuka yaani, Alipoanza MWANZO MPYA!!.
Je, Umesahau kuwa Mungu Aliokoa watu Nane (8) Katika Safina ya Nuhu ili Aanze MWANZO MPYA wa dunia ya Watu Baada ya Gharika?
Je, Mwaka 2015 ni Mwaka gani wa Watanzania? (2+0+1+5=8) Ni Mwaka wa Mwanzo Mpya?
Je, Mwaka 2015 ni MWANZO MPYA wa Mhe.Edward lowasa Kuongoza Tanzania Mpya, yenye Chama kipya, na Mabadiliko Mapya.

Tukiondoka kwenye maandiko ya kikristo, Pia watalamu wa elimu ya namba (numerology) nao hawajatuacha. Wanatuambia kuwa namba 8 ina nguvu kubwa zaidi kwani inawakilisha mamlaka,Biashara, Pesa, na fani (Authority, Business, Finance and Career)

Ngoja mtaalam michael kombe a.k.a Mayor Nikupe Zawadi nyingine maana umesoma sana ujumbe wangu kwa muda mwingi sana.

Mwalimu Julius Nyerere Alizaliwa Tarehe 13/04/22  Sasa angalia Jumla ya hizi Namba.
Mwl. julius Nyerere alizaliwa 13/04/22 Haya Twende. Tarehe ya kuzaliwa 13 (1+3=4), Mwezi 04 (0+4=4), Mwaka 22 (2+2=4).

Je, Unajua maana ya Nambari nne (4)? Nambari nne huwakilisha kutotetereka vilevile huonyesha msingi madhubuti (Stability and Strong Foundation). Je dhana hizi zinahusiana vipi na sifa aliyokuwa nayo baba wa Taifa?
Kuhusu Nelson Mandela, Tarehe yake ya kuzaliwa na sifa alizokuwa nazo ndo utajua tarehe hiyo ya kuzaliwa viongozi hawa zina siri nzito mno!!!  Mtaalam naacha kama ``Home Work".

Monday, 13 October 2014

Trick: check if image, picture is edited or photoshopped

Have you ever thought why many people hide their real photos?and why they tend to EDIT their photos in order to create more attention from their friends and their viewers..here are the best ways to catch 'em
Check image is photoshopped: All of you are using social networking sites like Facebook, Google plus etc. I am also one the user and must share that uploading your pic with your friends, selfies with a lot of editing is now a common trend. Not only this morphed images to fool others are very common nowadays. There are various editing tools like paint, Photoshop, gimp etc that one can use in windows pc to edit or photoshopped their image. Sometimes it is easy to check whether image is photoshopped or not but at times you will get confused . This is mainly due to excellent level of editing done to that picture. So, here I am giving you details about some of the best tools to check image is photoshopped or not. Just uploading the pic you can check if picture is edited. Both these tools have different algorithms to check, compare pictures and show final results. Best thing about these tools is that these tools are free.

Method 1: to check image is photoshopped or not:

FOTOFORENSICS: is best tool to check the morphed images. You just need to upload the image and click on check and within few seconds you will get the results.It basically works on algorithm which checks and detect about the image manipulations.you can check the results with 4 parameters which helps you to find the image is photoshopped or not.
check image is photoshopped

These parameters are:
ELA: Error Level Analysis. One of the best concepts of digital image processing. It checks and differentiate between the actual image and photoshopped image. If image is edited or morphed then fotoforensics shows some color on the tested image. If image is not photoshopped then ELA shows normal white colour over the image.
JPEG%: 5 shows you the quality of image last saved. For each % of decrease in quality means it is changed with some software.
Meta Data: meta data gives you some kind of information about the photograph. like when it was taken, camera brand etc.
Original: this section shows the original version og the image which is not photoshopped by removing the desired effects.

How to use fotoforensic to check image is photoshopped:

  • Open the site www.fotoforensics.com.
  • You can see two options to upload image. one is through URL and other through computer.
  • Choose which one is appropriate for you.
  • Click on check and you will get two images.
  • One is the photoshopped one and other original.
  • You can check the extent of editing using ELA.

check image is photoshopped

Method 2 to check if image is edited or not:


This is the second method to check if the image is edited or not. Imageedited.com an excellent to check out any morphed image. much more easier to work on. No need to go through any error level analysis.

How to use imageedited.com to check image is edited or not:

  • Open imageedited.com.
  • Click on analyze file. You can upload file from computer only.
  • Once uploaded it will analyze the file and give you all details like image taken, platform, filters used etc.
  • You can also check exif information by clicking on show exif information.
  • Apart from this you can also get information if picture or image is downloaded from Facebook and which software is used to edit the images.
ORIGINAL IMAGE:
check image is edited or not.

IMAGE DETAILS: 

check image is edited or not
Done
NOTE: although these sites gives best possible details but still there are chances of some mismatch or error.
This is how you can check if image or picture is photoshopped or edited. I have given some sample pictures for clarification and samples. Hope you all will like this post on how to check if image or picture is photoshopped or edited......read more here

Tuesday, 7 October 2014

APELEKWA HOSPITALI BAADA 'MASHINE' KUSIMAMA KWA SAA 17


Mfanyakazi mmoja wa hoteli nchini Uingereza
alilazimika kutoa painti mbili za damu (Takriban
lita moja) kutoka kwenye uume wake- baada ya
kusimama kwa muda wa saa 17 mfululizo.
Madaktari kwanza walijaribu kupunguza kasi ya
damu kwa kijana huyo, Jason Garnett, kwa kupiga
sindano 24 moja kwa moka kwenye nyeti zake.
Tovuti ya Metro imesema 'mashine' ilisimama
kuanzia siku ya Ijumaa asubuhi alipoamka. Kijana
huyo, 23, alijaribu kila aina ya njia, ikiwemo
kukimbia, na kuoga maji ya baridi sana, kabla ya
kupelekwa hospitali na rafiki yake.
Hospitali iligundua kuwa Garnett alikuwa na
maradhi ambayo ni haba kuonekana yajulikanayo
kama priapism - ambapo uume husimama bila
kukoma. Maradhi hayo hayasababishwi na hamu
ya kutaka kufanya mapenzi, lakini iwapo mtu
hatopata tiba, inaweza kuharibu uume, imeripoti
tovuti ya News.com.au.
Akizungumza na gazeti la The Sun, amesema:
"Yaani kuishia hospitali na jambo hili, ni moja ya
siku ya aibu zaidi kwangu duniani.
"Kuona wakichoma sindano 'mashine' yangu
ilikuwa jambo gumu sana kwangu- kama
kutazama filamu ya kutisha. Maumivu yalikuwa
asilimia 100."
Amesema baada ya sakata hilo, nyeti yake ina
majeraha 'kibao'.

Zaidi soma hapa

Monday, 6 October 2014

Sunday, 7 September 2014

9 Best One Click Android Rooting Software [Rooting Tools]

If you're the who finally made up mind to root your android mobile, but you're not able to find out, What are some best Android One Click Rooting Tools/software? And if you're the one looking for an answer to this question, then please give your valuable minutes of your life to read this article.

No doubt rooting an Android mobile comes with tons of benefits, but rooting a mobile require lots of technical knowledge and one mistake can increase the risk of getting brick.
To make this process easier lots of developers have developed rooting software with the help of which user can root android device just by making a few clicks. And in this opinion piece I'm going to share with you some good tools which help you in rooting your android mobile. So without further ado, let us have a look at some of them:

1.  One Click Root


One Click Root is one of the most popular software for rooting android devices. With just one click, you can root any android mobile and tablet and get access to lots of new and amazing features. Guess what? You don't have to pay a single penny to grab this tool.

2. SRSRoot


SRSRoot is another easy to use solution for rooting any of your android mobile and tablet. This software has multiple exploits to gain  root access on your device. One thing which definitely going to like about this tool is, that with this tool also provides you option to unroot your device just by make one click.

3. UnlockRoot


You can also use UnlockRoot to root your Android phone and help you get maximum user privileges. This tool also has support for Samsung Galaxy S/S2/S3. Note/Note 2, HTC One X, Amazon Kindle Fire, LG Nexus 4 and more. But you need to buy this tool by paying $29

4. SRS Easy Root


With SRS Easy Root you can permanently root and unroot your Android Mobile or tablet with ease.. One thing which makes this software unique from others, that it's not loaded with ads. Also, I forget to mention that its 100% free.

5. SuperOneClick


Its another good one click android rooting software by XDA Recognized developer CL ShortFuse. It's the application that will work for almost every reader who's currently reading this article.

6. Universal Androot


Another amazing tool that lets your root and remove the root from your android mobile just with click on one button. One thing which I really like about Universal Androot is that you still get an OTA software update after your device is rooted.

7. Rescue Root


RescueRoot is a free program that enables you to root Android devices in a fast and easy manner. It features a powerful Android rooting database, completed with the latest scripts and exploits. You can get an unlimited number of backups of your entire Android device, including Apps, Contacts, stored files and text messaging.

8. Kingoapp

With this app you can root your any Android phone free of cost without any risk. Its one of the easiest way to root device and supports almost any Android phone with any version. Check out how to use Kingo to root Android phone Step by Step Guide

9. CF-Auto-Root

CF-Auto-Root is the root for "rooting beginners" and those who want to keep as close to stock as possible. CF-Root is meant to be used in combination with stock Samsung firmwares, and be the quickest and easiest way for your first root. In essence, it does nothing but install and enable SuperSU on your system, so apps can gain root access.
These are some good tools to root Android mobile which I found over the web and forums, and working fine for Android users. So give a try to these tools and also let us know if you using any other tool for your device.

Also, don't forget to share with us your favorite trick and apps for rooted Android phone :)
 for more info click here