Search This Blog

Showing posts with label lifestyle. Show all posts
Showing posts with label lifestyle. Show all posts

Saturday, 16 August 2014

Jitume siku ipo ya kufurahia matunda ya uvumilivu na juhudi zako

       Haijalishi umejaribu mara ngapi au umemwomba mungu mara ngapi ila ipo siku utafurahia matunda ya maombi na uvumilivu wako,wapo wanaoomba zaidi yako na wapo wanaoteseka zaidi yako ila hawajakata tamaa na bado wanazidi kuomba.